Tunawapenda Watoto wetu, lakini kwa usafiri wa hivi hapana.. - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, November 1, 2021

Tunawapenda Watoto wetu, lakini kwa usafiri wa hivi hapana..

Nikiwa katika safari zangu za kawaida maeneo fulani ya huko Bagamoyo mkoani Pwani niliinasa taswira hii ya muendesha Bodaboda akiwa kala shazi ya watoto wa shule waliokuwa wakitoka kwenye moja ya shule za eneo hilo, jambo hilo lilinishtua kidogo kwani usalama wa usafiri huo kiukweli ulionekana dhahili kuwa ni mashaka matupu. Niwashauri wazazi kutoruhusu usafiri wa namna hii kwa kuwachukua watoto shuleni, ni kweli tunawapenda watoto wetu, lakini usafiri wa namna hii tuukate kwa pamoja.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad