RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein
Ali Mwinyi Akikata Utepe Kuzindua Kiwanda cha Zanziba Handmade
Cosmetics. Rais Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi aliongozana na mke wake 1st
Lady Mariam Mwinyi Pamoja na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali,
Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar wa Awamu ya Nane, na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.
Dk.Hussein Ali Mwinyi Akishihudia Baadhi ya Bidhaa zinazozalishwa na
kiwanda hicho. Mkurugenzi wa kampuni ya Shear illusions akitoa maelekezo
kwa Mhe. Rais Mwinyi na wageni mbalimbali kuhusu bidhaa zinazozalishwa
kiwandani hapo.
Rais
wa Zanzibar wa Awamu ya Nane na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.
Dk.Hussein Ali Mwinyi Akimsikiliza Mkurugenzi wa Shear Illusions Africa,
Mama Shekha Nasser Ambaye Ndiye Mwekezaji wa Kiwanda cha Zanzibar
Handmade Cosmetics.
Friday, November 12, 2021

Home
HABARI KIJAMII
RAIS MWINYI ALIVYOZINDUA KIWANDA CHA ZANZIBAR HANDMADE COSMETICS CHA KAMPUNI YA SHEAR ILLUSIONS
RAIS MWINYI ALIVYOZINDUA KIWANDA CHA ZANZIBAR HANDMADE COSMETICS CHA KAMPUNI YA SHEAR ILLUSIONS
Tags
# HABARI KIJAMII
HABARI KIJAMII
Labels:
HABARI KIJAMII
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment