HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 12, 2021

SPIKA NDUGAI AONGOZA MKUTANO WA WAKULIMA WA KOROSHO KANDA YA KATI

 

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiongoza Mkutano wa wakuliwa wa Korosho kanda ya kati uliofanyika leo katika Chuo cha VETA Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma, Octoba 12, 2021, kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe na Mdau wa Korosho na Mbunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Adam Kimbisa.
Wadau mbalimbali wa korosho wakishiriki Mkutano wa wakulima wa korosho kanda ya kati uliofanyika leo katika Chuo cha VETA Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma, Octoba 12, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Mhe. Remedius Mwema akizungumza na wadau mbalimbali wa korosho (hawapo kwenye picha) wakati wa Mkutano wa wakulima wa korosho kanda ya kati uliofanyika leo katika Chuo cha VETA Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma, Octoba 12, 2021.
Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe akizungumza na wadau mbalimbali wa korosho (hawapo kwenye picha) wakati wa Mkutano wa wakulima wa korosho kanda ya kati uliofanyika leo katika Chuo cha VETA Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma, Octoba 12, 2021. 

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad