HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 4, 2021

Rais Samia azungumza kwa njia ya mtandao na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Royal Dutch Shell ya Uholanzi

 




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwa njia ya Mtandao na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Royal Dutch Shell plc yenye Makao Makuu yake Nchini Uholanzi Bw. Ben Van Beurden, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 04 Octoba 2021

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad