Zaidi ya ng’ombe 15 wamekutwa wamekufa kwa kile kinachodiwa kuwa wamepigwa na radi katika kijiji cha Mwibiti, Ikomwa kilichopo manispaa ya Tabora.
Inadaiwa kuwa tukio hili lilitokea usiku wa kuamkia leo, ambapo katika zizi moja lililokuwa na ngo’ombe 30 kati yao 15 walikuwa wamekufa. Alisimulia Nhomano Lugwesa ambaye ni mfugaji na mmiliki wa ng’ombe hao.
No comments:
Post a Comment