HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, September 14, 2021

UEFA NA EUROPA KURINDIMA WIKI HII

 

*Tengeneneza Mkeka Wako Kupitia Meridianbet!

SASA ni rasmi, Chelsea kuliweka mezani kombe la Ligi ya Mabingwa na kuianza safari ya kulitetea. Ataweza au miamba mingine ya Ulaya italitwaa? Safari ya mabingwa inaanza hivi;

FC Barcelona kuwaalika Bayern Munich katika mchezo wa kwanza wa Kundi E. Barca hii ni muoenekano mpya wa kikosi ambacho hakina Lionel Messi, shujaa wao aliyetwaa tuzo 6 za Balon d’Or akiwa na BarcelonaBayern nao wataingia wakiwa na machungu ya kupoteza ubingwa msimu uliopita. Hakika, ni burudani ya kibingwa. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.10 kwa Bayern.

Young Boys watakua uwanjani kuwaalika Manchester United kule Switzerland. CR7 ndani ya kikosi cha The Red Devils, akiipeperusha bendera nyekundu kwa mara ya pili baada ya miaka 12. Ifuate Odds ya 1.37 kwa United ndani ya Meridianbet.

 

Jumatano, Atletico Madrid watawaalika FC Porto ndani ya Wanda Metropolitano katika mchezo wa Kundi B. Timu zote zinahistoria nzuri na mashindano haya na lolote linaweza kutokea ndani ya uwanja. Odds ya 1.70 kwa Atletico inakusubiri ndani ya Meridianbet.

Liverpool watakua Anfield kumualika Zlatan Ibrahimovic na wenzake wa AC Milan. Sasa hii ndio vita ya watu wazima, timu hizi ni miongoni mwa miamba ya soka la Ulaya. Mpira wa kistaarabu lakini upinzani wake ni mkali sana! Kupitia Meridianbet, ifuate Odds ya 1.53 kwa Liverpool.

Alhamisi kutapigwa mchezo wa Ligi ya EuropaCrvena Zvezds vs Braga kunogesha siku yakoIfuate Odds ya 2.40 kwa Zvezda ndani ya Meridianbet.

Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

1 comment:

Post Bottom Ad