Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa
Tanzania Centre for Democracy, Mhe. Zitto Kabwe alipomtembelea leo
Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Septemba 8, 2021 Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mwenyekiti wa
Tanzania Centre for Democracy, Mhe. Zitto Kabwe alipomtembelea leo
Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Septemba 8, 2021, kulia ni Mtendaji
Mkuu wa Tanzania Centre for Democracy, Bw. Lawrence Malawa.Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji
wa Kampuni ya VunjaBei Group, Fred Ngajiro alipomtembelea leo Ofisini
kwake Bungeni Jijini Dodoma, Septemba 8, 2021Spika
wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akipokea zawadi ya jezi ya timu ya Simba
Sports Club kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya VunjaBei
Group, Fred Ngajiro alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini
Dodoma, Septemba 8, 2021. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
No comments:
Post a Comment