RAIS WA ZANZIBAR DKT. HUSSEIN ALI MWINYI AZINDUA VITAMBULISHO VYA WAJASIRIAMALI WADOGO ZANZIBAR - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, September 23, 2021

RAIS WA ZANZIBAR DKT. HUSSEIN ALI MWINYI AZINDUA VITAMBULISHO VYA WAJASIRIAMALI WADOGO ZANZIBAR

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Vitambulisho vya Wajasiriamali Wadogo Zanzibar, uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Masoud Ali Mohammed  na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Mustafa Idrisa Kitwana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Kichama.Ndg Talib Ali Talib.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kitambulisho Mjasiriamali kutoka Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Bi.Amina Said Mdoe, hafla hiyo ya kuwakabidhi Vitambulisho Wajasiriamali Wadogo iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kitambulisho Mjasiriamali kutoka Mkoa wa Kusini Pemba Bi.Fatma Khamis Juma, hafla hiyo ya kuwakabidhi Vitambulisho Wajasiriamali Wadogo iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kitambulisha chake na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Masoud Ali Mohammed, baada ya kukizindua na kuwakabidhi Wajasiriamali Wadogo wa Unguja na Pemba,  hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu)


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akiwahutubia Wajasiriamali Wadogo Zanzibar katika hafla ya Uzinduzi wa Vitambulisho vya Wajasiriamali uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Andulwakil Kikwajuni Zanzibar.
WAJASIRIAMALI  Wadogo kutoka Unguja na Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati akiwahutubia  katika hafla ya Uzinduzi wa Vitambulisho vya Wajasiriamali Wadogo Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mjasiriamali kutoka Soko la Kibandamaiti Bi.Hawa, alipotembelea mabanda ya maonesho ya Wajasiriamalin Wadogo, wakati wa uzinduzi wa Vitambulisho vya Biashara kwa Wajasiamali Wadogo wa Unguja na Pemba, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad