Mwenyekiti wa CCM na Rais Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, September 10, 2021

Mwenyekiti wa CCM na Rais Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichokutana leo  Sept,10,2021 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad