HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, September 27, 2021

Msanii Shilole aongoza Kampeni ya Vodacom ya 'Kimbiza na 4G ya Ukweli' Manzese jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki

 



Msanii wa kizazi kipya Zena Mohammed maarufu kama Shilole akiwaelimisha wakazi wa Dar es Salaam kuhusu kampeni ya Vodacom Tanzania ya ‘Kimbiza na 4G ya Ukweli’ iliyofanyika mwishoni mwa wiki Manzese jijini Dar es Salaam. Kampeni hiyo ina lengo la kuifahamisha jamii kuhusu kasi na uhakika wa mtandao wake unaowezeshwa na uwekezaji makini katika teknolojia pamoja na upana wa huduma zinazotolewa kwa wateja wake.


Msanii wa kizazi kipya Zena Mohammed maarufu kama Shilole akimuelezea mkazi wa Manzese jijini Dar es Salaam baadhi ya huduma zitolewazo na kampuni hiyo kwenye kampeni ya ‘Kimbiza na 4G ya Ukweli’. Kampeni hiyo ina lengo la kuifahamisha jamii kuhusu kasi na uhakika wa mtandao wake unaowezeshwa na uwekezaji makini katika teknolojia pamoja na upana wa huduma zinazotolewa kwa wateja wake.



Mkuu wa Mauzo wa Kanda ya Dar es Salaam na Pwani wa Vodacom Tanzania, Brigita Stephen akimuelezea mkazi wa Manzese jijini Dar es Salaam baadhi ya huduma zitolewazo na kampuni hiyo kwenye kampeni ya ‘Kimbiza na 4G ya Ukweli’. Kampeni hiyo ina lengo la kuifahamisha jamii kuhusu kasi na uhakika wa mtandao wake unaowezeshwa na uwekezaji makini katika teknolojia pamoja na upana wa huduma zinazotolewa kwa wateja wake

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad