HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, September 2, 2021

KUTOKA MTAANI KWETU SEPTEMBA 02,2021 NDANI YA AFRICAN

Kamera ya Michuzi leo Septemba 02,2021 imemnasa Mwendesha baiskeli  akikatiza katika viunga vya African Barabara ya Bagamoyo wilaya ya Kinondoni jiji ni Dar es Salaam wakiwa wamepakia abiria huku hawajavaa kofia ngumu jambo ambalo ni hatari kwa maisha yao. (Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi TV)

Waendesha Baiskeli wakiwa wamepaki Baiskel zao pembeni ya Kituo cha Daladala cha African Barabara ya Bagamoyo wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam wakisubiri wateja wanaotoka maeneo mbalimbi ya jiji kama wanvyoonekana pichani. (Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi TV)

 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad