Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anaeshughulikia
mambo ya Siasa Mhe. Balozi Victoria Nuland, wakati Balozi Nuland
alipofika Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 04, 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimkaribisha Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anaeshughulikia
mambo ya Siasa Mhe. Balozi Victoria Nuland, wakati Balozi Nuland
alipofika Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 04, 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza
na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anaeshughulikia mambo ya
Siasa Mhe. Balozi Victoria Nuland, wakati Balozi Nuland alipofika Ikulu
Jijini Dar es salaam leo Agosti 04, 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani
anaeshughulikia mambo ya Siasa Mhe. Balozi Victoria Nuland, baada ya
kumalizika kwa mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 04,
2021. IKULU.
No comments:
Post a Comment