Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Keneth Kaunda Jijini Lusaka Zambia kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mpya wa 7 wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema leo Agosti 24,2021.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi
mbalimbali wa Serikali ya Zambia alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa Keneth Kaunda Jijini Lusaka Zambia leo Agosti 24,2021 kwa ajili ya
kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mpya wa 7 wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema.
PICHA NA IKULU.Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akangalia vikundi vya
Ngoma za aina mbalimbali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Keneth
Kaunda Jijini Lusaka Zambia leo Agosti 24,2021 kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe
ya kuapishwa Rais Mpya wa 7 wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment