RAIS SAMIA AONDOKA NCHINI AKIELEKEA ZAMBIA KUHUDHURIA KUAPISHWA KWA RAIS MTEULE - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, August 24, 2021

RAIS SAMIA AONDOKA NCHINI AKIELEKEA ZAMBIA KUHUDHURIA KUAPISHWA KWA RAIS MTEULE

 

Rais Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Agosti 24,2021 alipokuwa akielekea Nchini Zambia kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Mteule Mhe. Hakainde Hichilema. IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad