HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, August 12, 2021

Makabidhiano Ofisi ya Wakurugenzi Wilaya ya Shinyanga Yafanyika

 

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Bi. Nice R. Munissy (kushoto) akikabidhiwa Nyaraka Muhimu za Makabidhiano ya Ofisi na Mkurugenzi anayeondoka Bi. Hoja N. Mahiba kama Vitendea kazi vya Ofisi

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Bi. Nice R. Munissy (kushoto) akiklabidhiwa Nyaraka Muhimu za Makabidhiano ya Ofisi na Mkurugenzi anayeondoka Bi. Hoja N. Mahiba kama Vitendea kazi vya Ofisi
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Bi. Nice R. Munissy wakikabidhiana Nyaraka Muhimu za Makabidhiano ya Ofisi na Mkurugenzi anayeondoka Bi. Hoja N. Mahiba kama Vitendea kazi vya Ofisi huku wakishuhudiwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Mhe. Ngassa S. Mboje.





 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad