KAMISHNA
Jenerali wa Jeshi la Magereza, Meja Jenerali Suleiman Mzee, leo
amefanya Kikao kazi cha Wakuu wa Divisheni, Wakuu wa Vitengo na Sehemu
wa Makao Makuu ya Magereza, Msalato Dodoma. Kikao hicho kimejadili Mambo
mbalimbali kuhusiana na Uendeshaji wa Jeshi hilo.
Baadhi
ya Wakuu wa Divisheni, Wakuu wa Vitengo na Sehemu wa Makao Makuu ya
Magereza wakifuatilia kikao kazi hicho kilichofanyika Makao Makuu ya
Jeshi hilo, Msalato Dodoma.
No comments:
Post a Comment