HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, August 17, 2021

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA MEJA JENERALI SULEIMAN MZEE APOKEA TUZO YA UTUNZAJI MAZINGIRA JIJINI DODOMA

 

 

KAMISHNA Jenerali wa Magereza, Meja Jenerali Suleiman Mzee(kulia) leo, jijini Dodoma amekabidhiwa tuzo ya ushindi wa utunzaji wa mazingira iliyotolewa hivi karibuni na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma. Kushoto ni Kaimu Kamishna wa Magereza - Divisheni ya Urekebu, SACP. Ramadhan Nyamka.
.KAMISHNA Jenerali wa Magereza, Meja Jenerali Suleiman Mzee(katikati) leo akiwa Ofsni kwake jijini Dodoma akiwa katika picha ya pamoja na Kaimu Kamishna wa Magereza - Divisheni ya Urekebu, SACP. Ramadhan Nyamka(kulia) pamoja na Mkuu wa Gereza Kongwa, SP. Tecla Ngilangwa baada ya kumkabidhi tuzo ya ushindi wa utunzaji wa mazingira iliyotolewa hivi karibuni na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma. 
 Muonekano wa mandhari ya Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Magereza, jijini Dodoma kama inavyoonekana katika picha.




No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad