Benki ya CRDB na ZIC zaingia makubaliano ya huduma za uwakala wa bima - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, August 25, 2021

Benki ya CRDB na ZIC zaingia makubaliano ya huduma za uwakala wa bima

 
Katika mikakati mbalimbali ya kukuza uchumi wa blue leo benki ya CRDB imeingia makubaliano na kampuni ya bima ya Zanzibar (ZIC) ya kutoa huduma za uwakala wa bima katika miradi yote ya kimkakati inayotekelezwa Zanzibar. Makubaliano hayo yatahusisha pia utoaji wa Elimu ya bima kwa wakandarasi na idara zote za serikali ya mapinduzi ya Zanzibar.pichani, Mkuu wa Idara ya Bima wa Benki ya CRDB, Bi. Moureen Majaliwa  na Mkurugeni Mtendaji wa Shirika la Bima Zanzibar (ZIC), Arafat Haji wakionyesha hati za makubaliano hayo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad