HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 31, 2021

Wikiendi ya Ufunguzi wa Ligi na Pre-season


 PSG Ataanzaje Msimu Baada ya Kuukosa Ubingwa?

Baada ya mapumziko ya takribani miezi miwili, hatimaye vilabu vipo tayari kuanza kurejea dimbani, na wikiendi hii mambo yatakuwa moto kwenye viwanja mbali mbali vya soka. Meridianbet wameanza na wewe katika ufunguzi wa msimu na gemu za awali kabisa!

Tukianzia Ufaransa wikiendi hii Paris Saint Germain anakutana uso kwa uso na Lille katika mechi ya ufunguzi wa msimu, mechi ya Trophee des Champions ndani ya dimba la Bloomfield, Tel Aviv –Israel. Bila shaka PSG hajajiandaa kupoteza taji jingine mbele ya Lille. Meridianbet wamekuwekea odds ya 8.00 kwa PSG kushinda kwa bao 2-0.

Huko Ureno pia Sporting CP anavaana na Braga kwenye mechi ya taji la Supertaca Candido de Oliveira, dimba la Estádio José Alvalade XXI huko Portugal litawashuhudia wawili hawa wakivutana mashati. Braga ana kumbukumbu nzuri baada ya kutwaa taji hilo msimu uliopita kwa kuwafunga Benifica 2-0. Mpe ushindi Sporting kwa bao 2-1 na upate odds ya 9.00 toka Meridianbet.

Dabi ya kupimana nguvu ya washika mtutu, Arsenal ndani ya Emirate Stadium dhidi ya Chelsea kuelekea msimu mpya ni fursa ya timu zote kuonesha ubora wa vikosi, Bluez anakumbukumbu mbaya katika dimba la Emirate akibamizwa 3-0 msimu uliopita wa ligi kuu. Meridianbet wamekupa odds na machaguo mengi kwa mechi hii.

Meridianbet wamekuwekea michezo mingine kibao, ambayo bado inakupa fursa ya kuchagua wapi uweke mkwanja na uvune mkwanja zaidi. Chagua michezo kuanzia soka, esports, bashiri za live na michezo yapo mingine unayoipenda zaidi.

Furahia ushindi na Mabingwa, Meridianbet!

 

SM Content

Facebook

Wikiendi poa ya ushindi na #meridianbet inakujia na gemu kali za ufunguzi wa msimu, Lille na Sporting CP wanasaka kuendeleza ubabe wao msimu huu. Arsenal naye uso kwa uso dhidi ya Chelsea! Kamata mpunga wako kwa kupiga *149*10# kubashiri sasa.

#shindanameridianbet  #bashirinamabingwa

 

Instagram

Wikiendi poa ya ushindi na #meridianbet inakujia na gemu kali za ufunguzi wa msimu, Lille na Sporting CP wanasaka kuendeleza ubabe wao msimu huu. Arsenal naye uso kwa uso dhidi ya Chelsea! Kamata mpunga wako kwa kupiga *149*10# sasa.

 

#shindanameridianbet  #bashirinamabingwa

Twitter

Wikiendi poa ya ushindi na #meridianbet inakujia na gemu kali za ufunguzi wa msimu, Lille na Sporting CP wanasaka kuendeleza ubabe wao msimu huu. Arsenal naye uso kwa uso dhidi ya Chelsea! Kamata mpunga wako kwa kupiga *149*10# sasa.

#shindanameridianbet #bashirinamabingwa

 

2 comments:

Post Bottom Ad