Afisa
Mikopo Mkuu wa HESLB, Tuli Madhehebi akimhudumia mmoja wa wateja
waliotembelea Banda la HESLB jana Jumatano (Julai 7, 2021)katika
maonesho ya 45 ya biashara ya kimataifa Dar es Salaam (DITF)
yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.

Mikopo wa HESLB, Nicolaus Kasamia akiwasiliza wateja mbalimbali
waliotembelea Banda la HESLB jana Jumatano (Julai 7, 2021)katika
maonesho ya 45 ya biashara ya kimataifa Dar es Salaam (DITF)
yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.
Wateja
mbalimbali waliotembelea banda la HESLB, wakitazama Ankara ya taarifa
ya deni la mkopo wakati walipotembelea Banda la HESLB jana Jumatano
(Julai 7, 2021) katika Maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa Dar es
Salaam (DITF) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.
Afisa
Mikopo wa HESLB, Deborah Justine akitoa ufafanuzi kwa mmoja wa wateja
walitotembelea Banda la HESLB katika jana (Jumatano Julai 7,2021)
Maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam yanayoendelea
katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.
Maafisa
Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi ya Elimu Juu (HESLB), Rosada
Fredrick na Nicolaus Kasamia wakitoa ufafanuzi kwa Wanafunzi wa Shule ya
Awali na Msingi Atlas ya Ubungo Jijini Dar es Salaam wakati
walipotembelea banda la HESLB jana (Jumatano, Julai 7, 2021) katika
Maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (DITF)
yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.
No comments:
Post a Comment