Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali
Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Afrika Mashariki Ikulu - Zanzibar. Uongozi huo unaongozwa na Waziri
wa Mambo ya Nje Balozi Liberata Mulamula (Mb), Naibu Waziri, Balozi
Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb), Katibu Mkuu, Balozi Joseph Sokoine pamoja
na Naibu Katibu Mkuu, Balozi Fatma Mohammed Rajab katika ziara rasmi ya
kujitambulisha kwa Viongozi Waandamizi wa Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar.
Thursday, July 29, 2021
VIONGOZI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE WAFANYA ZIARA ZANZIBAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment