RAIS WA ZANZIBAR DK.HUSSEIN ALI MWINYI AWAAPISHA MAKATIBU WAKUU MA NAIBU MAKATIBU WAKUU - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, July 13, 2021

RAIS WA ZANZIBAR DK.HUSSEIN ALI MWINYI AWAAPISHA MAKATIBU WAKUU MA NAIBU MAKATIBU WAKUU

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dk.Habiba Hassan Omar kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Kazi,Uchumi na Uwekezaji katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Nd.Issa Mahfoudh Haji kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Nd.Mussa Haji Ali kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Dk.Habiba Hassan Omar akila kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Kazi,Uchumi na Uwekezaji katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Nd.Mussa Haji Ali akila kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu, katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Nd.Issa Mahfoudh Haji akila kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Nd,Aboud Hassan Mwinyi akila kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuwa Naibu Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais,Fedha na Mipango, Anayeshuhulikia(Fedha na Mipango),katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Nd,Mikidadi Mbarouk Mzee akila kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 
Baadhi ya Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu,walioapishwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Viongozi wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakiwa katika hafla ya kuapishwa Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu,walioapishwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. Picha na Ikulu, Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad