RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA KIKRISTO TANZANIA ( CCT) MKOANI MOROGORO - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, July 8, 2021

RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA KIKRISTO TANZANIA ( CCT) MKOANI MOROGORO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Kikristi Tanzania (CCT) katika Eneo la Kilakala Mkoani Morogoro leo Julai 08,2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) alipowasili katika Eneo la Kilakala Mkoani Morogoro leo Julai 08,2021 kwa ajli ya kufungua Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya kikristo Tanzania (CCT).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisindikizwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) Baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya kikristo Tanzania (CCT) Mkoani Morogoro leo Julai 08,2021.


1 comment:

  1. Awesome and interesting article. Great things you've always shared with us. Thanks. Just continue composing this type of post.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad