Msanii wa Vichekesho Erick Omondi atembelea banda la NIC, Sabasaba - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 10, 2021

Msanii wa Vichekesho Erick Omondi atembelea banda la NIC, Sabasaba


Mchekeshaji maarufu Afrika Mashariki na Kati  kutoka Nchini Kenya Eric  Omondi akizungumza na waandishi wa habari alipotembelea  Banda la Shirika la Bima la Taifa( NIC) kupata elimu na Huduma za Bima katika maonesho ya 45 ya Biashara Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es salaam.

 Mchekeshaji maarufu Afrika Mashariki na Kati  kutoka Nchini Kenya Eric  Omondi akiwa katika picha ya Pamoja na Wafanyakazi wakati  alipotembelea Banda la Shirika la Bima la Taifa( NIC) kupata elimu na Huduma za Bima katika maonesho ya 45 ya Biashara Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es salaam.

Mkurugenzi wa Masoko na Huduma kwa Wateja Isaya Mwakifulefule akiteta Jambo na Mchekeshaji maarufu Afrika Mashariki na Kati  kutoka Nchini Kenya Eric  Omondi wakati  alipotembelea Banda la Shirika la Bima la Taifa( NIC) kupata elimu na Huduma za Bima katika maonesho ya 45 ya Biashara Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es salaam.

Mkurugenzi wa Masoko na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Bima la Taifa la Bima (NIC) Isaya Mwakifulefule akizungumza na mchekeshaji maarufu Afrika Mashariki na Kati  kutoka Nchini Kenya Eric  Omondi wakati alipotembelea  banda la Shirika la Bima la Taifa( NIC) kupata elimu na Huduma za Bima katika maonesho ya 45 ya Biashara Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad