Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akitoa heshima za mwisho katika Jeneza lenye mwili wa Mwanasiasa Mkongwe
Marehemu Mzee Chrisant Majiyatanga Mzindakaya mara baada ya Misa ya
kumuombea Marehemu iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu
Petro Oysterbay mkoani Dar es Salaam leo tarehe 09 Juni 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akiondoka katika Kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay mkoani Dar es
Salaam mara baada ya kutoa Heshima za mwisho katika Jeneza lenye mwili
wa Mwanasiasa Mkongwe Marehemu Mzee Chrisant Majiyatanga Mzindakaya leo
tarehe 09 Juni, 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa
na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
katika Misa ya kumuombea Marehemu Mzee Chrisant Majiyatanga Mzindakaya
iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay mkoani Dar es
Salaam leo tarehe 09 Juni, 2021.
No comments:
Post a Comment