Kampuni
ya KOM Group Of Companies Limited ya Mjini Kahama mkoani Shinyanga leo
Jumatatu Mei 10,2021 imekabidhiwa nyaraka za kumiliki eneo la heka 100
kwa ajili ya uwekezaji wa Kiwanda cha kuchakata nyama za kuku na chakula
cha mifugo katika eneo la Kibaha vijijini mkoani Pwani. Kushoto ni
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi
akikabidhi nyaraka hizo leo jijini Dodoma kwa Ofisa Uhusiano wa Kampuni
ya KOM Group Of Companies Limited Shija Felician (kulia).
Ofisa
Uhusiano wa Kampuni ya KOM Group Of Companies Limited Shija Felician
(kulia) akionesha nyaraka za kumiliki eneo la heka 100 kwa ajili ya
uwekezaji wa Kiwanda cha kuchakata nyama za kuku na chakula cha mifugo
katika eneo la Kibaha vijijini mkoani Pwani. Kushoto ni Waziri wa Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi
Tuesday, May 11, 2021
Home
HABARI
WAZIRI LUKUVI AIKABIDHI KOM GROUP OF COMPANIES LTD NYARAKA UMILIKI ENEO LA KIWANDA CHA KUCHAKATA NYAMA ZA KUKU
WAZIRI LUKUVI AIKABIDHI KOM GROUP OF COMPANIES LTD NYARAKA UMILIKI ENEO LA KIWANDA CHA KUCHAKATA NYAMA ZA KUKU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment