HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, May 8, 2021

WABUNGE WAPEWA MAFUNZO JUU YA LISHE KWA WATOTO

 

Sehemu ya Wajumbe wa Kamati za Huduma na Maendeleo ya Jamii, Bajeti, Masuala ya Ukimwi pamoja na Kamati ya Utawala na serikali za Mitaa wakiwa katika Semina juu ya umuhimu wa kushughulikia tatizo la upungufu wa Lishe kwa watoto wadogo iliyofanyika hii leo kwenye ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge)

Mjumbe wa Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa Mhe. Dkt. Pindi Chana akichangia jambo kwenye Semina juu ya umuhimu wa kushughulikia tatizo la upungufu wa Lishe kwa watoto wadogo iliyofanyika hii leo kwenye ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge)

Afisa Mawasiliano wa UNICEF- Tanzania Ndg. Usia Ledama akiwasilisha Mada juu ya Hali ya Watoto Tanzania katika Semina kwa Wabunge iliyofanyika hii leo kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad