HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 26, 2021

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEONDOKA ZANZIBAR AKIELEKEA NCHINI MSUMBIJI KUHUDHURIA MKUTANO WA SADC

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na kuagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akielekea Nchini Msumbuji kuhudhuria Mkutano wa SADC unaotarajiwa kufanyika kesho Jijini Maputo Msumbiji.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Viongozi wa Serikali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akielekea Nchini Msumbiji kuhudhuria Mkoato wa SADC unaotarajiwa kufanyika kesho Jijini Maputo Msumbiji.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakisalimiana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,wakati akielekea Nchini Msumbuji kuhudhuria Mkutano wa SADC unaotarajiwa kufanyika kesho Jijini Maputo.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad