RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Kampuni ya Eliya Food Overseas Limited
kutoka Nchini Dubai, ukiongozwa na Bw. Shabbir Virjee (kulia kwa Rais)
walipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Ujumbe wa Kampuni ya Eliya Food Overseas Limited kutoka Nchini Dubai, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment