Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Patricia Salehe Fikirini kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani
katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es
Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Penterine Kente kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani katika hafla
ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo
tarehe 17 Mei, 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Lilian Leonard Mashaka kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani
katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es
Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Dkt. Paul Faustine Kihwelo kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani
katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es
Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Lucia Gamuya Kairo kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani katika
hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam
leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Issa John Maige kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani katika hafla
ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo
tarehe 17 Mei, 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Abraham Makofi Mwampashi kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani
katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es
Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Katarina Tengia Revocati kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika
hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam
leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Biswalo Eutropius Kachele Mganga kuwa Jaji wa Mahakama Kuu
katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es
Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Zahra Abdallah Maruma kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika hafla
ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo
tarehe 17 Mei, 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Devotha Christopher Kamuzora kuwa Jaji wa Mahakama Kuu
katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es
Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Messe John Chaba kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika hafla ya
Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe
17 Mei, 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Frank Habibu Mahimbali kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika
hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam
leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akizungumza na Majaji wa Mahakama ya Rufani, Majaji wa Mahakama Kuu
pamoja na Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya Uapisho Ikulu
Jijini Dar es Salaam. Majaji
wa Mahakama ya Rufani pamoja na Majaji wa Mahakama Kuu wakila Kiapo cha
Maadili kwa Viongozi wa Umma mara baada ya tukio la Uapisho wao Ikulu
Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa
na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Hamis Juma, Spika wa Bunge Job
Ndugai, Katibu Mkuu Ikulu Dkt. Moses Kusiluka (wakwanza kulia waliokaa)
akiwa katika picha ya kumbukumbu na Majaji wa Mahakama ya Rufani mara
baada ya hafla ya kuwaapisha iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment