Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Amos Gabriel Makalla kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
katika hafla iliyofanyika leo tarehe 19 Mei, 2021 Ikulu Jijini Dar es
Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Queen Cuthbert Sendiga kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Stephen Nzohabonayo Kagaigai kuwa Mkuu wa Mkoa wa
Kilimanjaro katika hafla iliyofanyika leo tarehe 19 Mei, 2021 Ikulu
Jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Omary Tebweta Mgumba kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe katika
hafla iliyofanyika leo tarehe 19 Mei, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Mwanamvua Hoza Mrindoko kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Rosemary Staki Senyamule kuwa Mkuu wa Mkoa wa Geita
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimuapisha David Zacharia Kafulila kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu katika
hafla iliyofanyika leo tarehe 19 Mei, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Brigedia Jenerali Charles Mang’era Mbuge kuwa Mkuu wa Mkoa
wa Kagera katika hafla iliyofanyika leo tarehe 19 Mei, 2021 Ikulu Jijini
Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Charles Makongoro Nyerere kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara
katika hafla iliyofanyika leo tarehe 19 Mei, 2021 Ikulu Jijini Dar es
Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Brigedia Jenerali Wilbert Augustine Ibuge kuwa Mkuu wa Mkoa
wa Ruvuma katika hafla iliyofanyika leo tarehe 19 Mei, 2021 Ikulu Jijini
Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Nenelwa Joyce Mwihambi kuwa Katibu wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Balozi Joseph Edward Sokoine kuwa Katibu Mkuu Wizara ya
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimuapisha CP Salum Rashid Hamduni kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya
Kuzuia na Kupambana na Rushwa PCCB
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Sylvester Antony Mwakitalu kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka DPP
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Joseph Sebastian Pande kuwa Naibu Mkurugenzi wa Mashitaka
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Neema Mpembe Mwakalyelye kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa.
Viongozi wote walioapishwa Wakila Kiapo cha Maadili kwa Viongozi wa Umma Ikulu Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment