RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWAAPICHA MAKATIBU WAKUU, NAIBU MAKATIBU WAKUU NA WAKUU WA TAASISI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, 6 April 2021

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWAAPICHA MAKATIBU WAKUU, NAIBU MAKATIBU WAKUU NA WAKUU WA TAASISI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO


 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bw. Gerald Musabila Kusaya kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu April 6, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bw. Alphayo Japani Kidata kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu April 6, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Kheri Abdul Mahimbali kuwa Naibu Katib u Mkuu Wizara ya Nishati katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu April 6, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bw. Gabriel Joseph Migire kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (anayeshughulikia uchukuzi) katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu April 6, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Profesa Godius Walter Kahyarara kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu April 6, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bw. Allan Albert Kijazi kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu April 6, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bw. Emmanuel Mpawe Tutuba kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu April 6, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Philip Isidory Mpango akiongea katika hafla ya kuapisha Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Wakiuu wa Taasisi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu April 6, 2021
Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Wakuu wa Taasisi mbalimbali wakila kiapo cha Maadili ya Utumishi wa Umma baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu April 6, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia mara baada ya kuwaapisha MAkatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Wakuu wa Taasisi Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne April 6, 2021 PICHA NA IKULU
 No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad