MICHEZO YA UEFA NA EUROPA KUENDELEA WIKI HII - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, 6 April 2021

MICHEZO YA UEFA NA EUROPA KUENDELEA WIKI HII

  *Hatua ya Robo Fainali Inaweza Kuwa Faida Kubwa Kwako,Jiongeze!

UKIWA na Meridianbet, huna sababu ya kuwaza wiki inaanza au kuisha kwa namna gani? Hii ndio maana halisi ya Nyumba yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa! Kwenye Meridianbet wiki hii.


Brentford watawaalika Birmingham katika muendelezo wa Ligi ya Championship kule Uingereza. Mtanange wa Championship umezileta timu kama Leeds United na Sheffield United kwenye EPL, Meridianbet tumekupatia Odds ya 1.60 kwa Brentford Jumanne hii.


Tutavuka mipaka na kutua kwenye Ligi ya Mabingwa. Jumanne hii tutakumbushana vita ya Sergio Ramos vs Mo Salah, Real Madrid uso kwa uso na Liverpool kwa mara nyingine. Japokuwa Ramos hatocheza mechi hizi, lakini burudani ya msimu wa 2018/19 inarudi kivingine msimu huu. Kuna Odds ya 2.65 kwa Liverpool kupitia Meridianbet.


Baada ya kumuangusha mwamba wa Serie A [Juventus], FC Porto kupepetana na Chelsea ya Thomas Tuchel Jumatano hii. Huu ni mchezo ambao Tuchel ataingia uwanjani akiwa na machungu ya kupoteza mchezo wa EPL kwa mara ya kwanza wikiendi iliyopita. Meridianbet tumekusogezea Odds ya 1.95 kwa Chelsea.


Jumatano ni vita tupu, kilichotoke msimu uliopita kwenye fainali ya Ligi ya Mabingwa kinajirudia kwenye mchezo wa robo fainali msimu huu. Bayern Munich vs PSG, ni moto! Bayern ataendeleza ubabe au PSG atakataa utumwa? Tumekusogezea Odds ya 2.10 kwa Bayern kupitia Meridianbet wiki hii.


Alhamisi hii tutahamia kwenye Ligi ya Europa. Ajax kuwaalika AS Roma, pengine huu ukawa ndio mchezo mgumu kwenye hatua ya robo fainali ya Europa msimu huu. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.15.


Tutahitimisha kwa mchezo wa Dinamo Zagareb vs Villareal. Huku napo sio pakuchukulia poa. Dakika 90 zinaweza kukupa faida kubwa. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.30 wa Dinamo alhamis hii.

1 comment:

Post Bottom Ad