Muonekano wa vitu mbalimbali
vikiwa tayali kwaajili ya kwenda kuuzwa vilivyo tengenezwa na Wabunifu hao kama vinavyoonekana
pichani.
Wabunifu,waundaji wa vitu
mbalimbali kwa kutumia vyuma ikiwemo majiko,vibanio,vikaangio,wakiwa katika
shughuli za utengenezaji kama
wanavyoonekana pichani leo katika soko la Tazara jijini Ilala Dar es
Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
No comments:
Post a Comment