MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA MUHEZA NA PANGANI TANGA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, March 16, 2021

MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA MUHEZA NA PANGANI TANGA

 

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  akiangalia Maji muda mfupi baada ya Kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji Safi na Salama wa Mji wa Muheza katika Kijiji cha Pongwe Wilayani Muheza leo March 16,12021.Makamu wa Rais yupo Mkoani Tanga akiendelea na ziara yake ya kikazi ya siku 5 kutembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo ya Wananchi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  akiondoa Kitambaa Kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji Safi na Salama wa Mji wa Muheza leo March 16,12021.Makamu wa Rais yupo Mkoani Tanga akiendelea na ziara yake ya kikazi ya siku 5 kutembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo ya Wananchi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  akisalimiana  na Wananchi wa Kijiji cha Pongwe Wilaya ya Muheza baada ya  kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya  Muheza Mkoani Tanga leo March 16,12021.Makamu wa Rais yupo Mkoani Tanga akiendelea na ziara yake ya kikazi ya siku 5 kutembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo ya Wananchi.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  akiangalia Mradi wa Ujenzi wa Ukuta wa  Bahari  Pangani Mkoani Tanga  alipokua katika siku ya pili ya ziara yake ya siku tano Mkoani Tanga kutembelea na kukagua Miradi mbalimbali ya Maendeleo ya Wananchi Mkoani Tanga leo March 16,12021. kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Ummy Ali Mwalimu. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  akisalimiana  na Wananchi wa Kijiji cha Majengo Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga alipokua njiani akielekea katika Kijiji cha Pongwe kwa ajili ya kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji Safi na Salama wa Mji wa Muheza leo March 16,12021.Makamu wa Rais yupo Mkoani Tanga akiendelea na ziara yake ya kikazi ya siku 5 kutembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo ya Wananchi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  akiweka Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga leo March 16,12021.Makamu wa Rais yupo Mkoani Tanga akiendelea na ziara yake ya kikazi ya siku 5 kutembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo ya Wananchi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad