Akiwakilisha Bodi, Menejimenti na Wafanyakazi wa Benki ya NMB, Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB - Ruth Zaipuna na baadhi ya viongozi wa Benki hiyo ni miongoni mwa waombolezaji walioungana na familia, ndugu, jamaa na Watanzania wote katika mazishi ya Buriani Hayati Dkt John Pombe Magufuli mjini Chato.
No comments:
Post a Comment