RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana
na Viongozi wa Dini baada ya kumalizika kwa Dua ya kumuombea Mwachuoni
Mkubwa Afrika Mashariki Sayyid Hussein Badawy, iliofanyika katika Masjid
Mushawr Muembeshauri Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MUFTI Mkuu wa Zanzibar Sheikh
Saleh Omar Kabi akizungumza na kutowa wasifu wa Mwanachuoni Mkubwa
Afrika Mashariki na Kati Marehemu Sayyid Hussein Badawy, wakati wa
kumuombea dua iliofanyika Masjid Mushawr Muembeshauri Jijini Zanzibar na
(kulia) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.
Hussein Ali Mwinyi, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ungyuja Mhe. Idrisa
Mustafa Kitwana.(Picha Ikulu)
KATIBU wa Mufti Mkuu wa Zanzibar
Sheikh Khalid Ali Mfaume akiwasailisha salamu za Rais Mstaaf wa Jamuhuri
ya Muungano wa Tanzania Alhaj Ali Hassan Mwinyi, wakati wa hafla ya
kumuombea dua Mwachuoni Mkubwa Afrika Mashariki na Kati Marehem Sayyid
Hussein Badawy, iliofanyika katika Masjid Mushawr Muembeshauri Jijini
Zanzibar.(Picha na Ikulu) WAUMINI
wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakiitikia dua ya kumuombea Marehemu Sayyid
Hussein Badawy baada ya kumalizika Sala ya kumuombea iliofanyika katika
Masjid Mushawr Muembeshauri Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi na Waumini wa Dini ya
Kiislam Zanzibar wakiitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu Zanzibar
Sheikh Mahmoud Mussa, kumuombea Marehemu Mwanachuoni Mkubwa Afrika
Mashariki na Kati Sheikh Sayyid Hessein Badawy, iliofanyika katika
Masjid Mushawar Muembeshauri Jijini Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Mkuu
wa Wilaya ya Mjini Mhe. Rashid Simai Msaraka na (kushoto kwa Rais) Naibu
Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini
Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini
wa Dini ya Kiislam Zanzibar katika Sala na Dua ya kumuombea Mwanachuoni
Mkubwa Afrika Mashariki na Kati Marehemu Shariff Sayyid Hussein Badawy,
iliofanyika katika Masjid Mushawar Muembeshauri Jijini Zanzibar,
ikiongozwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, baada ya
kumalizika kwa Sala ya Ijumaa.(Picha na Ikulu) MWAKILISHI
wa Familia ya Marehemu Mwanachuoni Mkubwa Afrika Mashariki na Kati
Sayyid Hussein Badawy, ikiwasilishwa na Mwanafamilia Sayyid Mohammed
Omar Al Sheikh (Judda) wakati wa hafla ya kumuombea dua baada ya Sala ya
Ijumaa iliofanyika katika Masjid Mushawar Muembeshauri Jijini
Zanzibar.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment