RAIS DKT MAGUFULI AMUAPISHA MHE. ZEPHARINE NYALUGENDA GALEBA KUWA JAJI WA MAHAKAMA YA RUFANI TANZANIA LEO - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, February 2, 2021

RAIS DKT MAGUFULI AMUAPISHA MHE. ZEPHARINE NYALUGENDA GALEBA KUWA JAJI WA MAHAKAMA YA RUFANI TANZANIA LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimuapisha Mhe. Zepharine Nyalugenda Galeba kuwa Jaji wa Mahakama ya
Rufani Tanzaia kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino leo Jumanne Februari 2, 2021
 
Mhe. Zepharine Nyalugenda Galeba akila kiapo kuwa Jaji wa
Mahakama ya Rufani Tanzaia kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino leo Jumanne Februari 2, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimuapisha Mhe. Zepharine Nyalugenda Galeba kuwa Jaji wa Mahakama ya
Rufani Tanzaia kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino leo Jumanne Februari 2, 2021

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad