Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Dar es salaam iliyokuta leo Febuari 02,2021 katika Ofisi ya CCM Mkoa Lumumba Jijini Dar es salaam kwa ajili ya kupitia Muhtathari wa kazi za Chama pamoja na ratiba ya maadhimisho ya miaka 44 ya Chama cha Mapinduzi CCM. kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es salaam Mama Kate Kamba.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi
wa CCM Mkoa wa Dar es salaam ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa
ya Mkoa wa Dar es salaam iliyokuta leo Febuari 02,2021 katika Ofisi ya CCM Mkoa
Lumumba Jijini Dar es salaam kwa ajili ya kupitia Muhtathari wa kazi za Chama pamoja
na ratiba ya maadhimisho ya miaka 44 ya Chama cha Mapinduzi CCM.

No comments:
Post a Comment