WAJUMBE KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA WAKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE JIJINI DODOMA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, January 28, 2021

WAJUMBE KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA WAKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE JIJINI DODOMA

 


Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb) akijibu hoja wakati wa Kupokea maelezo kuhusu Muundo na Majukumu ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Jijini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb) akijibu hoja wakati wa kupokea maelezo kuhusu Muundo na Majukumu ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kulia kwake ni Mhe. William Tate ole Nasha.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na usalama Mhe. Mussa Azzan Zungu (mwenye shati la njano) akiongoza kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na usalama pamoja na Wizara ya Mambo ya Nje kilichofanyika katika Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad