Kamati ya kitaifa ya Uwezeshaji wa Usafiri wa Anga nchini yakutana katika kikao kazi cha 48 - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, January 15, 2021

Kamati ya kitaifa ya Uwezeshaji wa Usafiri wa Anga nchini yakutana katika kikao kazi cha 48

 

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Hamza S. Johari akizungumza alipokuwa akifungua kikao kazi cha 48 cha Kamati ya Taifa ya Uwezeshaji wa Usafiri wa anga nchini kilichofanyika katika makao makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wanakamati wa Kamati ya Taifa ya Uwezeshaji wa Usafiri wa anga nchini wakifuatilia hotuba ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Hamza S. Johari alipokuwa anafungua kikao kazi cha 48 kilichofanyika katika makao makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) wakiwa kwenye kikao kazi cha 48 cha Kamati ya Taifa ya Uwezeshaji wa Usafiri wa Anga nchini kilichofanyika katika makao makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) leo jijini Dar es Salaam.
Mkutano ukiendelea
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Hamza S. Johari pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Uwezeshaji wa Usafiri wa Anga nchini Daniel Malanga wakiwa kwenye picha ya pamoja na wanakamati wa Kamati ya Taifa ya Uwezeshaji wa Usafiri wa anga nchini mara baada ya ufunguzi wa kikao kazi cha 48 kilichofanyika katika makao makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA).No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad