DIWANI KATA YA ARUSHA CHINI AKABIDHI TANI TANO ZA MAHINDI SHULE TISA MKOANI KILIMANJARO - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, January 20, 2021

DIWANI KATA YA ARUSHA CHINI AKABIDHI TANI TANO ZA MAHINDI SHULE TISA MKOANI KILIMANJARO

 

 Diwani wa Kata ya Arusha Chini Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Mkoani Kilimanjaro, Leonard  Waziri Mkakanzi, Leo Januari 19,2010  amekabidhi tani tano za mahindi katika shule tisa zilizopo kwenye Kata yake ikiwa ni sehemu ya mchango wake katika kusaidia elimu kwenye shule zilizopo katika Kata yake yenye wanafunzi takribani elfu tatu mia saba (3700)

Diwani wa kata ya Arusha Chini mkoa wa Kilimanjaro, Leonard Mkakanzi  kulia, akikabidhi mahindi kwa ajili ya chakula kwa Mwalimu Mkuu wa  shule ya msingi ya Kiyungi Mpya,  Marry Malimbwi, na kushoto ni Diwani wa Kata ya Kahe Mashariki Kulwa Kamili Mmbando ambaye pia ni mwenyekiti wa mipango halmashauri ya wilaya ya Moshi.
Wanafunzi wa shule ya msingi Kiyungi kata ya Arusha Chini mkoani Kilimanjaro wakipokea mahindi kutoka kwa Diwani wa Kata hiyo, Leonard Mkakanzi kwa aili ya chakula cha shuleni hapo.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad