Ni Super Sunday Ndani ya EPL, London Derby kuchezwa katika dimba la Tottenham Hotspurs Stadium - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, 4 December 2020

Ni Super Sunday Ndani ya EPL, London Derby kuchezwa katika dimba la Tottenham Hotspurs Stadium

 *Tottenham Hotspurs uso kwa uso na Arsenal Jumapili hii

NI muendelezo wa London Derby katika EPL kwa wiki mbili mfululizo. Baada ya derby ya kwanza kuchezwa Jumapili iliyopita ambapo Chelsea walitoka sare na Tottenham, jumapili hii ni zamu ya Arsenal kuwafata Tottenham.


Arsenal bado wanataabika na matokeo mabovu kwenye EPL wakiwa wameshinda mchezo 1 kati ya 6 waliyocheza kwa siku za karibuni.


Wanawafata Tottenham ambayo ipo kwenye kiwango kizuri kwa sasa na ndio vinara wa msimamo wa EPL wakiwa na pointi 21 baada ya michezo 10.


Mikel Arteta atakuwa na kibarua cha ziada katika mchezo huu ambao anakwenda kukutana na Jose Mourinho akiwa na timu iliyo na ari kubwa ikilinganishwa na Arsenal ambayo kwa kiasi kikubwa inaonekana kuporomoka kiwango mara dufu.


Tottenham na Arsenal wameshakutana mara 201 katika historia ya soka. Tottenham ameibuka kidedea mara 65, wametoka sare mara 54 na Arsenal ameshinda mara 82.


Mchezo wa mwisho kuwakutanisha Tottenham na Arsenal ulichezwa Julai 12, 2020 ambapo Spurs waliibuka kidedea kwa ushindi wa 2-1. Hali itakuwaje msimu huu?


Wataalamu wa Meridian wamekuweka odds za kibingwa. Ushindi kwa Tottenham umepewa odds ya 1.96, ushindi kwa Arsenal unaodds ya 3.77 wakati matokeo ya sare yamepewa odds ya 3.52.


Kama ilivyokawaida, mashindano yakiwa yanaendelea kwenye Premier League, duka la Meridian bet ni sehemu utakayoweza kufuatilia kila kinachoendelea.


Pamoja na mchezo huu, kunamichezo mingine kibao inayochezwa katika wiki ya 11 ya Ligi ya Uingereza - EPL, unaweza kujionea odds za michezo hiyo kwa kubofya hapa.


Jisajili na Meridiabet hapa http://www.meridianbet.co.tz na furaha yako itaanzia hapo. Pakua App ya Meridianbet kwenye simu yako na uanze kubashiri kwa uhuru nyumbani kwako. Pia, unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kupitia KwikPay, M-PESA au Airtel Money. Kumbuka, daima hauwezi kupoteza tiketi yako ya kwanza ukiwa na Meridianbet, tuna Bonasi ya 100% inakusubiri.


Meridian - Nyumba yenye odds bora na bonasi kubwa!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad