HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, 1 December 2020

Michezo ya Ligi ya Mabingwa, UEFA 2020/21 Kuendelea Leo usiku

 *Manchester United kuwakaribisha PSG, Old Trafford!

MOJA kati ya makundi magumu kwenye Ligi ya Mabingwa msimu huu ni kundi H. Hapa kuna Man United, PSG, RB Leipzig na Istanbul Basaksehir. United, PSG na Leipzig wote wananafasi ya kufuzu hatua ya 16 bora, nani ataibuka kidedea katika hili?


Mchezo wa kwanza kati ya PSG vs Man United uliochezwa nchini Ufaransa, United waliibuka kidedea kwa ushindi wa 2-1. Waswahili wanasema ‘United waliendelea walipoishia 2018/19’ – Walifungwa Old Trafford, wakaenda kupindua meza Stade de France na wakafuzu hatua ya robo fainali kwa mtindo huo. 


Vipi msimu huu. Je, PSG watapindua meza Old Trafford?

Licha ya kupoteza mchezo wa kwanza dhidi ya United, PSG walionesha uwezo katika mechi zilizofuata na wameshavuna pointi 6 sawa na RB Leipzig wakati ambao United ni kinara wa kundi H akiwa na pointi 9 baada ya michezo 4.


Ushindi au matokeo ya sare katika mchezo huu, yataivusha United mpaka hatua ya 16 bora wakiwa wanaisaka pointi 1 tu katika kufanikisha hilo. 


Kwa PSG, ushindi utawaeka kwenye nafasi sawa na United kwa kuwa na pointi sawa (9) na hivyo bado hakutakuwa na mbabe kwenye kundi hili mpaka michezo ya mwisho kwenye hatua ya makundi. Hakika huu ni mchezo mgumu na wa maamuzi kwenye Kundi H.


Kwa upande wa wataalamu wa Meridianbet, odds za mchezo huu zimechangamka!! Ushindi kwa Man United unaodds ya 2.74, PSG anathaminiwa kwa odds ya 2.50 wakati matokeo ya sare yanaodds ya 3.43.

Wataalamu wa Meridian wamekuwekea ofa ya machaguo zaidi ya 1,200 ambayo unaweza kuyaangalia hapa.


Kuwa sehemu ya mchezo huu na ubashiri vile unavyopenda! Kwa odds nzuri, ofa kabambe za michezo na mambo kemkem, Meridian inakusaidia kuwa mshindi!


Jisajili na Meridiabet hapa na furaha yako itaanzia hapo. Pakua App ya Meridianbet kwenye simu yako na uanzekubashiri kwa uhuru nyumbani kwako. Pia unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kupitia KwikPay, M-PESA au Airtel Money. Kumbuka, daima hauwezi kupoteza tiketi yako ya kwanza ukiwa na Meridianbet, tuna Bonasi ya 100% inakusubiri.

Meridian - Nyumba yenye odds bora na bonasi kubwa!

7 comments:

Post Bottom Ad