Wikiendi hii Ureno Uso kwa Uso dhidi ya Ufaransa - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 13, 2020

Wikiendi hii Ureno Uso kwa Uso dhidi ya Ufaransa

 *Wikiendi Hii Katika UEFA Nations League

IKIWA ni muendelezo wa Mashindano ya UEFA Nations League, Ureno watawakaribisha Ufaransa huu ukiwa ni mchezo unaowakutanisha - Bingwa wa Kombe la Dunia (2018) dhidi ya Bingwa Mtetezi wa UEFA Nations League.


Bingwa ni nani kati ya miamba hii. Ni Mreno au Mfaransa?

Kwa ujumla, Ureno na Ufaransa wameshakutana mara 26. Mchezo wa kwanza uliwakutanisha mwaka 1926. Katika michezo 26, Mreno amefungwa mara 18, Mfaransa amepigwa mara 6 na wametoka sare mara 2.


Katika michezo 6 ya mwisho kwa timu hizi kushiriki kwenye mashindano mbalimbali, Ureno ameshinda michezo 4 na kutoka sare mara 2 wakati ambapo Ufaransa ameshinda 4, kafungwa 1 na katoa sare 1. 


Katika muendelezo wa UEFA Nations League wikiendi hii, Ureno watakuwa kibaruani kutetea ubingwa wao wakipambana na bingwa wa dunia – Ufaransa. Huu ni mchezo utakaowakutanisha wachezaji wenye majina makubwa kwenye ulimwengu wa soka.

Cristiano Ronaldo, Bruno Fernandez, Pepe, Jao Felix, Bernado Silva, Paul Pogba, Rafael Varane, Olivier Giroud, Kylian Mbappe, Hugo Lloris, Antoine Griezmann ni kati ya majina makubwa yatayopambania pointi 3 katika kiwanja kimoja ndani ya dakika 90.

Kwa upande wa Odds za mechi hii ni za uhakika na zinavutia. Wataalamu wa Meridian wamekuwekea ofa ya machaguo zaidi ya 1,200 ambayo unaweza kuyaangalia hapa.

Kuwa sehemu ya mchezo huu na ubashiri vile unavyopenda! Kwa odds nzuri, ofa kabambe za michezo na mambo kemkem, Meridian inakufanya kuwa mshindi!

Jisajili na meridianbet hapa www.meridianbet.co.tz na furaha yako itaanzia hapo. Pakua App ya Meridianbet kwenye simu yako na uanze kubashiri kwa uhuru nyumbani kwako. 


Pia, unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kupitia KwikPay, M-PESA au Airtel Money. Kumbuka, daima hauwezi kupoteza tiketi yako ya kwanza ukiwa na Meridianbet, Tuna Bonasi ya 100% inakusubiri.

Meridian - Nyumba yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

11 comments:

Post Bottom Ad