RAIS WA ZANZIBAR DK. HUSSEIN ALI MWINYI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA KATIKA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, November 19, 2020

RAIS WA ZANZIBAR DK. HUSSEIN ALI MWINYI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA KATIKA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Hospitali Mnazi MmojaJijini Zanzibar  akiwa katika ziara yake ya kushtukiza leo 18/11/2020, kuangalia hali halisi ya Hospitali hiyo na (kulia kwa Rais) Dk. Khamis Mustafa
_DSC3573
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar alipofanya ziara ya kustukiza leo , kujionea hali halisi ya utendaji kazi  katika hospitali hiyo. (kushoto kwa Rais) MkurugenziUunguzi Hospitali ya Mnazi Mmoja Ndg. Haji Nyonje na (kulia kwa Rais) Dk. Khamis Mustafa, wakati akitembelea sehemu ya mapokezi ya Wagonjwa katika Hospitali hiyo leo 18/11/2020.
_DSC3699
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar alipofanya ziara ya kustukiza leo , kujionea hali halisi ya utendaji kazi  katika hospitali hiyo. (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Uunguzi Hospitali ya Mnazi Mmoja Ndg. Haji Nyonje na (kulia kwa Rais)
Dk. Khamis Mustafa, wakati akitembelea sehemu ya mapokezi ya Wagonjwa katika Hospitali hiyo leo 18/11/2020.\
_DSC3735

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi  akimpa pole mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika Wodi ya Wagonjwa wa ajali katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar Ndg. Nassopr Mohammed Khatib alipotembelea wodiu hiyo wakati wa ziara yake katika hospitali hiyo leo 18/11/2020.

_DSC3762
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza vla Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja  wakati wa ziara yake ya kustukiza aliyoifanya leo kutembelea vitengo
mbalimbali katika hospitali hiyo kujiunea utendaji Kazi kwa Wafanyakaziwa Hospitali hiyo leo 18/11/2020
_DSC3828
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Daktari wa Macho katika hospitali yaMnazi Mmoja Jijini Zanzibar Dk. Slim Mgeni akitowa maelezo wakati wa
ziara yake alipotembelea Kitengo cha Macho katika Hospitali hiyo leo 18/11/2020
_DSC3862
WAANDISHI wa Habari wa Vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi na Uongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar baada ya kumaliza ziara yake ya kustukiza leo 18/11/2020.
 

 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad