Mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo jijini Dodo - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, November 5, 2020

Mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo jijini Dodo

 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM leo tarehe 05 Novemba 2020 mkoani Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mjumbe wa Kamati Kuu Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Mohamed Ali Shein mara baada ya kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM leo tarehe 05 Novemba 2020 mkoani Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mjumbe wa Kamati Kuu Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi mara baada ya kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM leo tarehe 05 Novemba 2020 mkoani Dodoma.

 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad