La Liga Inarejea tena Wikiendi Hii, Jiji la Madrid Kutoa burudani ya soka Safi - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 20, 2020

La Liga Inarejea tena Wikiendi Hii, Jiji la Madrid Kutoa burudani ya soka Safi

 *Atletico Kuwakaribisha FC Barcelona!

MICHEZO ya timu za taifa kwenye UEFA League of Nations imeisha, sasa soka linarejea tena kwenye viwanja vyote nchini Hispania!

Kila shabiki anafurahia uhalisia kwamba mzunguko wa 10 wa La Liga unatuletea mchezo wa kukata na shoka wikiendi hii. 

Jipange, mchezo kati ya Atletico Madrid vs Barcelona unatusubiri.

Atletico Madrid na Barcelona kiuhalisia ni maana halisi ya ushindani wa soka la Hispania. Japokuwa Barcelona ni klabu ya makombe zaidi kuliko wapinzani wao, Atletico ni timu ambayo imekuwa ikionesha uwezo wake dhidi ya wapinzani wagumu.

Kutokana na sifa za timu hizi, ni mchezo wa kuvutia unaotusubiri Jumamosi hii majira ya saa 5 usiku katika dimba la Estadio Wanda Metropolitano katika mji mkuu wa Hispania-Madrid.

Atletico Madrid inashikilia nafasi ya 3 katika msimamo wa La Liga ikiwa haijapoteza mchezo wowote mpaka sasa. Kwa maneno mengine ni kwamba, katika michezo ya ligi, wameshinda michezo mitano na kutoka sare michezo miwili.

Atletico ndio timu pekee ambayo haijapoteza mchezo kwenye La Liga! Kinachovutia zaidi ni kwamba, Atletico Madrid ndio timu iliyofungwa magoli machache kwenye La Liga msimu huu- wamefungwa magoli mawili na wamefunga magoli 17!

Kwa upande wa Barcelona, ni ukweli wameonesha kiwango duni kwenye ligi mpaka sasa, wapo chini ya kiwango ambacho mashabiki wa klabu hii wamekizoea. Katika michezo 7 waliyocheza, Barca ameshinda mitatu wakiwa wamefungwa miwili na kutoka sare miwili.

Kitu cha kuvutia ni kwamba Atletico haijawahi kuwafunga Barcelona kwenye mchezo wa ligi kwa miaka 10 sasa.

Mara ya mwisho kwa Atletico kuwafunga Barca ilikuwa ni Februari 14, 2010 waliposhinda 2-1. Haijawahi kuwafunga Barca tangu siku hiyo, pengine ni muda sahihi kwa Atletico kuvunja historia iliyodumu kwa miaka 10!

Kwa upande wa Odds za mechi hii ni za uhakika na zinavutia. Wataalamu wa Meridian wamekuwekea ofa ya machaguo zaidi ya 1,200 ambayo unaweza kuyaangalia hapa.

Pia kwenye Premier League kuna mchezo wa kukata na shoka kati ya Tottenham vs Manchester City.

Huu ni mchezo ambao unaleta ‘amsha amsha’ miongoni mwa mashabiki wa soka. Mchezo kati ya Tottenham na Manchester City unateka hisia za watu wengi, sio kwa soka la Ulaya tu bali na duniani kwa ujumla. Hili sio jambo la kushangaza, hii ni kutokana na timu zote kuwa na uzoefu wa kubeba makombe mbalimbali.

Weka utabiri wako kwenye mchezo wa Tottenham vs Manchester City na uipe nguvu timu unayoishabikia kwenye Premier League kupitia Meridianbet!

Jaribu bahati yako kwasababu Meridian wanakupatia odds kubwa zenye ofa kabambe lakini pia, unaendelea kupata takwimu halisi kila muda, Meridian inakusaidia kutengeneza faida.

Jisajili na meridianbet hapa www.meridianbet.co.tz na furaha yako itaanzia hapo. Pakua App ya Meridianbet kwenye simu yako na uanze kubashiri kwa uhuru nyumbani kwako. 

Pia, unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kupitia KwikPay, M-PESA au Airtel Money. Kumbuka, daima hauwezi kupoteza tiketi yako ya kwanza ukiwa na Meridianbet, Tuna Bonasi ya 100% inakusubiri.

Meridian - Nyumba yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

Kuwa sehemu ya mchezo huu na ubashiri vile unavyopenda! Kwa odds nzuri, ofa kabambe za michezo na mambo kemkem, Meridian inakufanya kuwa mshindi!

Jisajili na meridianbet hapa www.meridianbet.co.tz na furaha yako itaanzia hapo. Pakua App ya Meridianbet kwenye simu yako na uanze kubashiri kwa uhuru nyumbani kwako. 

Pia, unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kupitia KwikPay, M-PESA au Airtel Money. Kumbuka, daima hauwezi kupoteza tiketi yako ya kwanza ukiwa na Meridianbet, Tuna Bonasi ya 100% inakusubiri. Meridian - Nyumba yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

11 comments:

Post Bottom Ad