DAWASA YAADHIMISHA WIKI YA USAFI WA MAZINGIRA KWA KUTOA ELIMU YA AFYA KWA WANANCHI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, November 19, 2020

DAWASA YAADHIMISHA WIKI YA USAFI WA MAZINGIRA KWA KUTOA ELIMU YA AFYA KWA WANANCHI

 

Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa mazingira Dar es salaam (DAWASA) wakiwa kwenye picha ya pamoja na watendaji wa kata ya Vingunguti wakati wa maadhimisho ya kilele cha wiki ya usafi wa mazingira Jijini Dar es salaam. Katika maadhimisho hayo elimu kuhusu ya usafi wa mazingira,  matumizi bora ya choo yalitolewa kwa wananchi ili kupunguza athari za magonjwa ya kuhara na  mlipuko.
Afisa wa DAWASA akitoa elimu kuhusu ya usafi wa mazingira na matumizi bora ya choo yalitolewa watendaji wa kata ya Vingunguti ili kupunguza athari za magonjwa ya kuhara na  mlipuko wakati wa maadhimisho ya kilele cha wiki ya usafi wa mazingira Jijini Dar es salaam. 
Msanii Mguli wa mziki hapa Tanzania, Mrisho Mpoto akitoa burudani wakati wa maadhimisho ya kilele cha wiki ya usafi wa mazingira Jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad