MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI LIWALE MKOANI LINDI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, October 25, 2020

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI LIWALE MKOANI LINDI

 


 

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Ujenzi Liwale mkoa wa Lind

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa  akizungumza na mgombea ubunge wa CCM wa Jimbo la Liwale, Zuberi Kuchauka katika mkutano wa kampeni aliouhutubia kwenye  uwanja wa Ujenzi Liwale mkoa wa Lindi,

 Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika Jimbo la Liwale , Zuberi Kuchauka  (wa pili kulia) akicheza muziki wa Sengeli wakati Msanii Shalo Mwamba (kulia) alipoimba katika mkutano wa kampeni uliohutubiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa kwenye  uwanja wa Ujenzi Liwale mkoa wa Lindi

Wananchi wa Liwale wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Ujenzi Liwale mkoa wa Lindi, Oktoba 25, 2020

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad